Tumekurahisishia kazi ya kuhangaika kutafuta bidhaa madukani. Sasa unaweza kuagiza na kuletewa mahali ulipo kwa uhakika, usalama, haraka na ubora kwa bei ile ile .....

Karibu sana AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS!

Fahamu mengi kuhusu

NUNUA BIDHAA ZAKO ZOTE KUTOKA KWETU UFURAHIE URAHISI, UBORA NA GHARAMA NAFUU

i. Wasiliana nasi kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com na kisha ulizia bidhaa zako zote unazohitaji au pata price list yetu ya mwezi
ii. Pata bei ya bidhaa unazohitaji
iii. Weka Order Yako
iv. Pata Confirmation
v. Subiri Bidhaa Zako (Utaletewa Ulipo)
vi. Pokea Bidhaa Zako
vii. Fanya Malipo

NI MAALUM KWA MEMBER WETU TU
Kuwa Member Wetu Upate Kulipia Bidhaa Zako Baada Ya Kupokea Mzigo, Punguzo La Bei Na Ofa Zingine Nyingi. Hakuna Gharama Ya Kujiunga Au Kuwa Member Wetu. Ni Kujiandikisha Jina Lako, Baadhi Ya Taarifa Zako, Anuani Yako Na Mawasiliano Yako Tu Basi ......

FURAHIA Bidhaa Bora Kwa Gharama Nafuu Kwa Sababu Wewe Ni Wa Kisasa Na Mchapakazi!

- AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS

OFISI: Ilala, Mtaa Wa Arusha (C/O medilife Healthcare), Dar es salaam

HAUTAPATA SHIDA TENA ......
Hautapata shida tena kutafuta bidhaa zako na kuzipata kwa wakati, hata kama hautakuwa na pesa ya kulipia Cash.

AMANI YA KUPATA BIDHAA ZAKO ZOTE, MAHALI PAMOJA, KWA NJIA YA KIDIGITALI
1. Dawa Ulizokosa Hospitali/Famasi
2. Virutubisho (Supplements) vyako vyote vya mwezi mzima
3. Bidhaa Zako Zote Za Usafi Wa Mwili Za Mwezi Mzima
4. Vipodozi Vyako Vyote Vya Mwezi Mzima
5. Bidhaa Zako Zote Za Mazoezi/Fitness Za Mwezi Mzima
6. Bidhaa Zako Zote Za Usafi Wa Mazingira Za Mwezi Mzima

NI MAALUM KWA MEMBER WETU TU
Kuwa Member Wetu Upate Punguzo La Bei Na Ofa Zingine Nyingi. Hakuna Gharama Ya Kujiunga Au Kuwa Member Wetu.

JISAJILI SASA
Tafadhali Tutumie Meseji (SMS), E-mail Au WhatsApp Ili Tukusajili Kisha Uanze Kufurahia Huduma Hizi. Tumia WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com.

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi ......

Karibu Sana!

Wasiliana nasi

Shuhuda mbalimbali za wateja wetu

Huduma zao ni nzuri sana, nimezipenda.

Bless mgongolwa - BMI GROUP
Blog

Soma makala mbalimbali, angalia bidhaa, picha video nk. kutoka Afyazaidi